Posted by Williammalecela.com on Friday, March 20, 2015

"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba
ni baby wangu
mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini
kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu katika maisha #TBT" Nuhu
Mziwand
0 comments:
Post a Comment