Posted by Williammalecela.com on Wednesday, March 04, 2015
 |
"Mpendwa soma hii Habari maadili hayapo tena kwa baadhi ya dada zetu.
Wanaosema dunia imekwisha wanakosea sana dunia iko pale pale wanadamu ndio wabaya sana kwenye hii dunia baadhi yao wameshageuka kuwa wanyama.
Picha hiyo ya msichana alitia aibu ya aina yake mdada huyo alipita
maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi bila kuvaa chupi ndani na
kuvaa sindilia maziwa yakiwa wazi hali hiyo iliwafanya baadhi ya wanaume
kuchukizwa na uvaaji huo nini kilichoke? soma. Wanaume hao
walimzonga dada huyo kutaka kumvua nguo zote ili abaki uchi kama
alivyozaliwa wengine walimchoma Vidole sehemu za siri huko akipigiwa
mayowe na kuvuta umati wa watu wengi dada huyo aliokolewa na mwendesha
wa boda boda. Yani unatoka ndani kwako bila kuvaa chupi na sindilia
kwanini baadhi ya wakinadada wafanya hivyo? Dada zangu acheni kuiga
tamaduni za kizungu tamaduni za nje sio maadili kabisa kuvaa vzr ni
heshima kwa mwanamke."
|
0 comments:
Post a Comment