Watu zaidi ya watatu wamenusurika Kifo Baada ya gari Yao kupata ajali Eneo la Lutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe -Songea wakielekea kumzika mbunge wa Mbinga Magharibi Kepten John Komba ajali imetokea Majira ya saa 7 usiku na hakuna aliyepoteza Maisha zaidi ya kujeruhiwa katika gari hiyo kunadaiwa kulikuwa na watu watatu wawili wananawa na mmoja mwanaume
cdt: mzee wa matuk



0 comments:
Post a Comment