Tuesday, March 3, 2015

Baadhi ya Watoto wa mitaani waishio jijini Arusha
 waliokusanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga
 kuwasaidia watoto wa mitaani kukabiliana na changamoto za
 ukosefu wa malazi,chakula,mavazi na pia elimu.Jamii inaombwa

 kujitokeza kusaidia watoto hao ar2 
 Baadhi ya Watoto wa mitaani waishio jijini Arusha
waliokusanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga
kuwasaidia watoto
wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa
malazi,chakula,mavazi na pia elimu.Jamii inaombwa kujitokeza
kusaidia
watoto hao. ar3 
 Kikundi cha ngoma cha watoto wa mitaani
 wakitumbuiza katika shughuli ya kuwakusanya watoto wa
mitaani iliyofanywa na taasisi ya GOLA Foundation inayolenga
 kuwasaidia watoto
  wa mitaani kukabiliana na changamoto za ukosefu wa
 malazi,chakula,mavazi na pia elimu.Jamii inaombwa kujitokeza
kusaidia watoto hao.

0 comments:

Post a Comment