Tuesday, March 31, 2015

KUJARIBU KUMTOROSHA MCHUNGAJI GWAJIMA KUTOKA HOSP.YA TMJ MIKOCHENI.
Mtoa taarifa ASP Pamphil Mholery OCS Kawe akiwa ni ofisa wa zamu mkoa Kinondoni,trehe 29.3.2015 majira ya 0300hrs alipata taarifa kutoka vyanzo vya taarifa kwamba kuna njama za kumtorosha mtuhumiwa.
Akiongozana na makachero majira ya 03:30hrs walifika eneo hilo na kukuta kweli kuna hali sio ya kawaida kwa kuwepo kundi la watu kwa usiku ule.

0 comments:

Post a Comment