Tuesday, March 3, 2015

MIZ4 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Balozi wa Japan nchini, anayemaliza muda wake, Mhe.  Masaki Okada wakifurahia baada ya Waziri Mkuu kumkabidhi zawadi ya kitabu chenye picha na ramani ya jiji la Dar es salaam wakati Balozi huyo alipokwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2, 2015 kuaga. 
MIZ3 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikabidhi zawadi ya kinyago Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Masaki Okada  ambaye alikwenda kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Jijini Dar es salaam Machi 2, 2015 kuaga.

0 comments:

Post a Comment