Tuesday, April 7, 2015

Watu wakiwa katika shamrashamra za Sikukuu ya Pasaka.

Watu wakiogelea. Watu wakiburudika ndani ya Coco Beach. Mwonekano wa ufukwe wa Coco Beach.

IKIWA ni siku ya pili ya Sikukuu ya Pasaka, mamia ya watu wameonekana katika ufukwe wa Coco Beach wakisherehekea sikukuu hiyo kwa kuogelea na kucheza michezo mbalimbali.
Kamera yetu iliwanasa watoto pamoja na wazazi wao wakiogelea, kula na kunywa ufukweni hapo ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukamilisha Sikukuu ya Pasaka.
(PICHA/HABARI: DENIS MTIMA/GPL)

0 comments:

Post a Comment