Posted by Williammalecela.com on Friday, April 10, 2015
Mgomo ulioanza rasmi leo asubuhi baada ya madereva kuwa na malalamiko,
umeisha baada ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia
Kabaka, kufuta Agizo la Madereva kusoma upya katika Chuo cha Taifa cha
Usafirishaji (NIT).
0 comments:
Post a Comment