Posted by Williammalecela.com on Thursday, April 16, 2015
ZAIDI
ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa
linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha
kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani
leo.
0 comments:
Post a Comment