Leo imechukua nafasi tena kwenye vyombo vya Habari, moja ya Magazeti ya leo lina kichwa cha habari >>>’Nimechoka kumzungumzia Askofu Gwajima-Kova‘
#BreakingNEWS: Jeshi la POLISI wamezingira nyumba ya Askofu GWAJIMA Mbezi DAR, wakili wake amesema ishu ni kupeleka nyaraka za mali zake.
— millardayo.com (@millardayo) April 17, 2015
Mwanasheria wake amesema ishu yote ilianzia pale ambapo Askofu Gwajima alitakiwa kuwasilisha nyaraka za vitu anavyomiliki, lakini wao walihitaji kupata barua kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi ili kuwasilisha nyaraka hizo.
Naifuatilia hii kwa ukaribu.. kitakachonifikia nitakusogezea hapa wakati wowote kuanzia sasa.
0 comments:
Post a Comment