Posted by Williammalecela.com on Friday, April 24, 2015
Ng'ombe anayewala Kondoo Kenya
Mkulima mmoja nchi Kenya anasema kuwa mmoja wa ng'ombe wake amesusia lishe yake ya kawaida na kuanza kuwala kondoo.
Charles
Mamboleo, ambaye anamiliki shamba kusini magharibi mwa kaunti ya Nakuru
aligungua kuwa ng'ombe wake amemla kondo siku moja asubuni.
0 comments:
Post a Comment