Posted by Williammalecela.com on Saturday, April 25, 2015
Kijana mmoja kwa jina ADAM MANONDO mkazi wa Sakina
auwawa kikatili huko Arusha jioni hii baada ya kufumaniwa akimla mke wa
mtu kwenye gari. Mama huyo ni mke wa
mmiliki wa baa moja maarufu jijini
Arusha (jina kapuni kwa sasa) na gari walilokuwa wakitumia aina ya VOXY
ni la mama huyo.
0 comments:
Post a Comment