Wednesday, April 22, 2015

Esma mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu #teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu ya shughuli zake za muziki.


Kuna misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma maalufu kama ‘Esma Platnumz’ ameamua kufunguka kufuatia kusemwa semwa sana na jamaa wa mmewe, ambao ni kutoka #teamWema.
Categories:

0 comments:

Post a Comment