Thursday, April 23, 2015





Ni kweli, wale mafundi nimeambiwa kwa jinsi walivyojenga, walichakachua simenti. Hata hivyo, kwa kulitambua hilo nimechukua mafundi wapya na kazi inayorudiwa sasa ni ya uhakika zaidi. Huu ujanjaujanja uliofanyika hata mimi sijakubaliana nao.”alisema dai.... Kwa hiyo unarudia ujenzi wa nyumba yote?” Diamond: “Aaa! No! Unajua mafundi waliojenga ule ukuta ulioanguka siyo waliojenga nyumba kubwa. Ni mafundi wawili tofauti. Kwa hiyo nina imani nyumba kubwa ipo sawasawa.”.... Baadhi ya marafiki zako wanasema fundi ni mmoja ila unasema ni wawili ili usibanwe kuhusu kuirudia nyumba kubwa.” Diamond: “Hamna bwana! Waliojenga ukuta wa uzio siyo wa nyumba kubwa. Ndiyo maana nimewaita wengine kujenja upya uzio. nakuwa na wasiwasi sana....

0 comments:

Post a Comment