Posted by Williammalecela.com on Monday, April 06, 2015

1. Msanii wa kwanza East Africa kushinda tuzo tatu za
Channel O 2. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kushinda tuzo 7 za kili
music awards 3. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa nomonated kwenye
tuzo kubwa duniani za BET 4. Msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa
nominated kwenye tuzo za MTV Europe Music Awards 5. Msanii wa kwanza
Tanzania kushinda tuzo kubwa nchini Nigeria 'Future awards'
5. Msanii wa
kwanza Tanzania mwenye influence kubwa zaidi kuwahi kutokea 6. Msanii
mwenye influence kubwa ktk social networks 7. Msanii anayelipwa pesa
nyingi zaid kwenye show kuliko msanii yeyote africa mashariki 8. Msanii
mwenye ulinzi mkali zaidi kuliko msanii yeyote afica mashariki. 10.
Msanii aliefanya kazi kubwa zaidi kuinua maslahi ya wasanii katika
shows, kwa kupandisha kiwango cha malipo katika shows zake 11. Msanii wa
kwanza wa bongo fleva kufanya collable nyingi za nje. 12 Msanii wa
kwanza Tanzania kuwa na video nyingi zenye views zaidi ya million mbili
youtube. 13. Msanii pekee East Africa anayeweza kupiga shows sehem
yeyote East & Central Africa na akajaza uwanja wa mpira peke yake.
14. Msanii pekee Tanzania ambae anafahamika zaidi nje ya nchi.
0 comments:
Post a Comment