Staa
mrembo kutoka Bongo Movies, Faiza Ally ameonekana kuungwa mkono na
wengi baada ya kuwatolea uvivu vijana wanaopenda mtelemko katika maisha
na kujikuta wakifanyiwa vitendo visivyofaa.
“Vijana
wa kiume wadogo wadogo wana danganya na wanaume wenzao - wanageuzwa kwa
ajili ya ugumu wa maisha na tamaa - yarab stara kwa watoto wetu
.....Habari za mji huu zina sikutisha sana -
kumbe ndio maana siku hizi wanaume wanapenda mik*ndu uwiii tunaelekea wapiiiiii wenzangu ? mimi nasikitishwa natamani kulia kwa sauti kubwa pamoja na yote Lakini Hapana jamani!! Na hofu maisha ya baadae ya watoto wetu “- Faiza aliandika kweye ukurasa wake mtandaoni
Kufuatia andiko hilo, watu wengi walionesha hasira zao kwa vijana wenye tabia hizo na kuikitika juu ya maadili yetu kumong'onyeka kadrisiku zinavyozidi kwenda na kuwataka watu waache tabia hizo chafu.

0 comments:
Post a Comment