Thursday, April 9, 2015

Wakati Mpenzi wake wa zamani Nay wa Mitego akiwa Bize na Baby yake Mpya Shamsa Ford , Siwema Ameamua kujipoza machungu ya kuachwa na kunyang'anywa mtoto kwa kununua gari mpya...Ameweka Picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram na Kuandika yafuatayo: 
wemalicious:Thank u ZAMZAM MOTORS LTD.....kwakufanikisha hili...u always good to me#magari yenu yako bomba ile mbayaaa # namba ikitoka ntawambia ili msinipite barabarani!!!!
wemalicious :
She cheat again...

0 comments:

Post a Comment