NI KWELI diamondplatnumz WAMEFUNGA NDOA?? UNAKUPA UBUYU KIDOGO -----Kwa imani ya watu wengi, huenda kuanzia Ijumaa ya jana, Zari ni Mrs Naseeb rasmi! Apparenty wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya ama
kuchumbiana –
ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku
wa jana..na kucaption hivi--- “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.
kuchumbiana –
ofcourse kwa mujibu wa picha aliyopost Diamond kwenye Instagram usiku
wa jana..na kucaption hivi--- “Wakati Mwingine Usiri Unabaraka zaidi.
0 comments:
Post a Comment