Ni movie ya kitanzania iliyosheheni mambo na vijimambo ikimzungumzia kijana aliyekufa na kuoza kwa poster za the super star Aunt Ezekiel
nakufikia wakati kutoa uhai wawenzake ili tu kumpata mwanadada huyo ambaye mwishoni anakuja kugundua ni dada yake fuatilia kisa hiki cha kusisimua THE BEAUTIFUL POSTER.
Humu ndani kuna washiriki wakutosha wanaojua nini wanafanya akiwemo Aunt Ezekiel, Leon Sambala,Joseph Machembe na Stanley Msungu katika movie hii wasanii wapo wanaochipukia na kutisha kisanaa usikose nakala yako hivi karibuni.

0 comments:
Post a Comment