Waswahili
wanasema ahadi ni deni.. akina dada ambao wanafanya biashara ya kuuza
miili yao Nigeria nao wanaahidi kutimiza ahadi yao ya kutoa huduma bure
kwa wateja wao nchi nzima.
Chama
cha wasichana hao ambao wanafanya biashara hiyo Nigeria waliahidi
kwamba wako tayari kutoa huduma bure kwa mtu yoyote iwapo Rais Buhari atashinda Uchaguzi huo..
Kwa kuwa tayari Buharikashinda wamesema watatoa huduma hiyo kwa siku tatu bure iwapo Rais huyo ataruhusu biashara hiyo kuwa halali kabisa kama ilivyo biashara nyingine.
Kwa kuwa tayari Buharikashinda wamesema watatoa huduma hiyo kwa siku tatu bure iwapo Rais huyo ataruhusu biashara hiyo kuwa halali kabisa kama ilivyo biashara nyingine.
Chama
hicho ambacho kinaitwa NANP kimesema iwapo biashara hiyo ikihalalishwa
itasaidia waweze kufanya biashara yao kwenye mazingira ya usalama zaidi
hata wa afya zao.. NANP walikuwa na imani kwamba Rais Buhari ataruhusu biashara hiyo japo mpaka sasa hajatoa taarifa yoyote.
Iliwahi
kusikika pia kutoka Kenya ambapo wanawake wanaofanya biashara hiyo
waliandamana mpaka kwa Mwanasheria Mkuu kutaka biashara yao ihalalishwe,
watambulike na walipe kodi kama wafanyabiashara wengine tu.
0 comments:
Post a Comment