Monday, April 27, 2015

Masama Blog inachukua fursa hii kumpongeza sana mtu wa watu Sambala Ole Comrade Mmiliki wa kundi maarufu katika mtandao wa Facebook lijulikanalo kama TANURU LA FIKRA lenye watu zidi ya 90,000 linalosaidia watu wengi wenye mitandao ya kijamii hasa vijana kwani kwa siku amewapa wamiliki wote wa mitandao ya kijamii kuweka habari zao pale bure ikiwepo blogu hii ya masama,tunasema tena hongera sana kwa kuamua kuachana na ukapera na kuvuta jiko, sasa atafanya IBADA halali, hongera Jatelo Mbobezi ...

0 comments:

Post a Comment