Posted by Williammalecela.com on Wednesday, April 15, 2015
Lamborghini
Gallardo baada ya kugonga mtu na kuparamia vizuizi vya
barabarani.KATIKA kuonyesha jeuri ya fedha, mmiliki mmoja wa gari aina
ya Lamborghini Gallardo huko nchini England ametoa mpya baada ya kupata
ajali na kuwaambia mashuhuda kuwa kesho yake angenunua gari lingine kama
hilo.
Gar
hilo la thamani likiwa limeharibika baada ya ajali.Mmiliki huyo alipata
ajali katika eneo la Beaumont Leys, Leicestershire baada ya kugonga mti
na kisha kugonga vizuizi vya barabarani.
Katika ajali hiyo,
Lamborghini hiyo yenye thamani ya pauni 250,000 sawa na shilingi milioni
676 za Kitanzania ilichomoka tairi moja la nyuma.

Tairi
ya nyuma iliyochomoka baada ya ajali.Baada ya kutokea ajali hiyo,
alishuka kijana mdogo ambaye hakufahamika jina lake na kuwaambia
mashuhuda wa ajali hiyo, kuwa hakuna tatizo kwa gari hilo kuharibika
maana atanunua lingine kesho yake.
0 comments:
Post a Comment