Wednesday, April 22, 2015

3
Tuendelee kuangalia maisha ya mastaa wa soka nje ya uwanja. Baada ya kumcheki Adebayor, leo ni zamu ya mtoto wa uswazi Etoo aliyegekuka kuwa wa  kishua. Ugonjwa mkubwa wa Etoo ni magari ya kifahari, gereji ya Etoo ina Bugatti, Masserati, Ferari, Rolls Royce na mengine.
1

2
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16

1 comment:

  1. maisha umeyakatia denge jombi, sio mchezo

    ReplyDelete