Wednesday, April 8, 2015


Kijana huyu ambaye jina lake hatukufanikiwa kulipata ila ni Mkazi wa Chaduru mkoani Dodoma ni tishio kwa kupiga ndole katika sehemu mbali mbali za starehe...Camera yetu ilimnasa live kwenye viwanja tofauti tofauti vya starehe hapa hapa Dodoma akiwa anavizia baadhi ya watu wakiwa wameshalewa na kuwaibia vitu vyao vya dhamani ikiwa ni pamoja na simu na vinginevyo,

kijana huyu popote utakapomwona kuwa naye makini sana, kashawaibia watu wengi na kuchapo alichokipata jana baada ya kunaswa akiwa mawindoni na kumliza mtu simu yake na baada ya kubainika, Ashushiwa kichapo safi na kumwagiwa pili pili usoni kisha akaruhusiwa aondoke

0 comments:

Post a Comment