Wednesday, April 22, 2015


Imetokea Tanga juzi Mwanaume kamuua mke
wake baada ya mwanamke kwenda kulala na mchepuko na kurudi kesho yake mume wake alivyomuuliza mke kamjibu dry mbaya.. Mume hasira zikampanda na kufanya mauji... Baki njia kuu

Categories:

0 comments:

Post a Comment