Friday, April 10, 2015

Staa mrembo wa Bongo Movies, Kajala Masanja kwa mara ya kwanza ameibuka na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.
Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala alisema kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.
“Huwa nateseka sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa milioni 13 japokuwa naaamini alitoka kwa moyo mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala
Categories:

0 comments:

Post a Comment