Thursday, April 2, 2015

Wanawake wengi tukipewa mitaji hatukawii kumaliza anajua kwa nini?
Tuna mahitaji mengi kuliko wanaume
1. Nguo tunavaa nyingi kuliko wanaume blouse, skirt, na vya humo ndani.
2. Uso unahitaji poda, foundation, wanja, lipstick, n.k. hapo hajajikoboa.
3. Nywele zinahitaji mafuta, steaming,pink lotion, shampoo, kusuka, n.k. hapo hajaweka dawa wala kuunga nywele za wafu.
4. Mavazi likipita dera la mkopo analo, upatu, vikoba, kufa na kuzikana yumo, sare, safari za ghafla shost kampitia ampeleke kwenye msuto.
Kisha unampa mtaji unamtegemea na huduma za nyumbani zimuhusu.
Umkute mwanamke mwenye akili ya maendeleo.
Na nyie wanaume mnachangia tukiamua kuwa natural kama misitu mnatuona wa shamba
 
 

0 comments:

Post a Comment