MAUZAUZA!
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya
aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta
nje ikiwa imeloa damu, Ijumaa lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa
chanzo makini, mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo
hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila
alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.
0 comments:
Post a Comment