Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete ametembelea Meli Mpya Mbili zilizokabidhiwa kwa Serikali ya Tanzania Leo Mchana na Balozi wa Mchana .Meli hizo Zimepewa Majina ya Vijiji Walipozaliwa Amri wakuu wa Majeshi wa Awamu ya Kwanza "Mwitongo" Mwalimu Nyerere na "Msoga" Rais Kikwete.Mbunge huyo alialikwa kutembelea Meli Hizo Akifuatana na Mwenyekiti wa CCMKijiji cha Msoga na Diwani wa Kata ya MsogaMbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete akiwa na Waziri wa CCM Mh Hussein Mwinyi
Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwani Kikwete Akiwa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Msoga aliyevaa Shati Jeupe Pamoja Na Diwani wa Kata ya Msoga.
Meja Mjema ambaye atakuwa kiongozi wa Meli Hiyo






0 comments:
Post a Comment