Saturday, April 11, 2015

Ni mfanyabiashara za promotion jijini Dar es salaam akiwa katika mizunguko yake ya kujitafutia riziki akitokea Temeke kwenda Posta apatwa na ajali mbaya maeneo ya bandarini na kufariki dunia
papo hapo kwa sasa jina lake halijafahamika na mwili wa marehemu umepelekwa kuhidhiwa katika hospital ya taifa ya Muhimbili.

0 comments:

Post a Comment