didashaibu didashaibu Nakugawa bureeee anakwambia mwanaume hanuniwi unatakiwa umchekee sio unanuna km umepoteza nauli ...Toto la kitanga unambiwa haingii studio na macounter book anatiririka km maji ya mlimakilimanjaro
..dida mtoto Wa kishua haloi hata Kwenye mvua dida unatoaga Wapi hivi vi maneno dah penda sana dida wangu Mungu nilindie dida wangu guys msisahau kumpigia kura mtangazi Wa redio anae pendwa zaidi na kipindi cha radio ninacho pendwa sana Ama nene
0 comments:
Post a Comment