
Al
Shabaab wanasajili vijana wasomi kama AbdiRahim Abdullahi aliyekuwa na
Shahada ya uwakili na aliyeuawa katika shambulizi la Garissa. Idara ya
polisi nchini Kenya inasajili wanafunzi waliopata alama ya D+ katika
mtihani wa KCSE.Abdirahim Abdullahi ni mmoja ya Al Shabaab waliyouawa baada ya kuuwa zaidi ya Wakenya 147.
Abdirahim
ni wakili na alifuzu na shahada ya uwakili kutoka Chuo Kikuu cha
Nairobi mnamo mwaka 2013. Wanaomjua wamemtaja kuwa wakili stadi.
Alisomea
shule ya upili ya WAMY jijini Nairobi na kufuzu na alama ya A-.
Wanaomjua kijana huyu wamemtaja kuwa kijana mahiri na msomi.
Ni
mtoto wa chifu mmoja mjini Mandera. Inasemekana alitoweka kwao mwaka
mmoja uliopita. Kitendo alichokitekeleza cha mauaji ya wanafunzi Garissa
kimemsikitisha sana babake mzazi.

Je, hii inachangia katika hali ya vikosi vya usalama vya serikali ya kenya kushindwa hekima wa magaidi?
0 comments:
Post a Comment