Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Hamisi Khalid (kushoto) mkazi wa Mtwara akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mshindiwapiliwamilioni 100/- katikapromosheniyaJayMillionsinayoendeshwana Vodacom Tanzania,Hamis Khalidi (30) mkaziwamkoaniMtwaranamjasiriamalianayeuzavifaavyasaluniza kike leoamekabidhiwafedha zakekatikahaflailiyofanyika jijini Dar es Salaam ambakoamefunguaakaunti.
PromosheniyaJayMillionsinayoendeleaikiwainakaribiakufikiamwishomnamoAprili 23, 2015 imekwishawawezeshabaadhiyawatejawa Vodacom kuwamamilionea kwakuwezakujinasuakatikahaliduniyamaisha
namaishakuwamuruanahadikufikiasasawamekwishapatikanawashindiwawiliwamilioni 100/-, washindiwannewamilioni 10/-nawashindi 39 wamilioni 1/-. Maelfuyawatejapiawamejishindiamudawamaongezi.
Washindiwamilioni 100/-niUwezoMadegengekutokawilayaniKilolomkoaniIringana Hamis Khalidiambayeamekabidhiwakititaalichojishindia.Washindiwamilioni 10/-niZuenaRajabumkaziwaSegerea , Hyness Petro KanumbakutokaRukwa,James Mangu (Mwanza), na Deborah Stanley mkaziwaKimarakwaKombajijini Dar es Salaam.
AkizungumzawakatiakikabidhiwafedhazakezaUshindi, mshindiwashilingimilioni 100 wapromoshenihiyo, Hamis Khalid, amewaombaWatanzaniakutambuamchangomkubwaunaofanywana Vodacom Tanzania katikakujenganakuimarishamaishayaWatanzania.
"NimefuatiliaPromosheniyaJaymillionsnaonainalengakuwakomboakimaishaWatanzaniahususaniwenyekipato cha chinihasa wajasiriamaliwadogowadogokama vile; wamachinga, mama ntilie, napiawastaafuambapokwakiasikikubwatunajuawatuwamatabakahayawanahitajimsaadailikujiendelezakiuchumi. Kwafedhaambazobaadhiyawashinditayariwamezipatawengizimewasaidiakujikwamuanakujiendelezakimaisha,"alisemaKhamis.
AliongezakuwayeyenimfanodhahiriwaWatanzaniakuwapromoshenihiihainaujanjabaliyakwelikwakuwapamojanakuishimkoaniamewezakushindanaleoameingiziwafedhazakekwenyeakaunti. "Sasanimepatamwangakatikamaishayangubaadayakujishindiafedhahizikwasababusijapewamashartiwalautaratibuwowotewamatumiziyafedhahizi, maishaniliyokuwanayoyalikuwayakuhangaikasanakutokananakuwanamtajimdogonasasayamewezeshwanapromoshenihii’’.Alisema.
Khalid alisemakwafedhahizializojishindiaanaonatayariameanza safari yakuwamfanyabiasharamkubwamwenyemafanikiokwakuwaataimarishabiasharayakenakufunguamiradimbalimbaliikiwemokusaidiafamiliayakeambayoinakabiliwanachangamotombalimbalizamaisha.
Aliongezakuwaanamatarajioyakutoamsaadakatikavituovyawatotoyatimakamanjiayakeyakutoashukranikwaushindihuuambaoumebadilishamaishayake.
Akizungumzakatikahaflailiyofanyikamakaomakuuyakampunihiyo,MkuuwaKitengo cha UhusianonaMawasilianowa Vodacom Tanzania Rosalynn MworiaaliwahimizawatejawotekuchangamkiapromosheniyaJayMillionsiliwajishindiemamilioniyafedhakwakuhakikishawanatumaneno JAY kwendanamba 15544 ilikutopotezabahatizao zakushinda.
Aliitajanjianyingineyakushindakuwanikutumaneno AUTO kwendanamba 15544 iwaposimuhainafedhaambapo mtejaakiwekafedhaanakatwashilingi 300/-tu.
“Tunaendeleakuwasisitiziawatejawetuwachekikilasikuilikujuakamanambazaozimeshindahasakipindihikiambachopromosheniinaelekeaukingoni. Kama Khalid asingetumaujumbesikuileangeendeleatunamaishayakekamayalivyokuwabilakujuakamanambayakeilichaguliwakushindakwamaanabadokunamamilioniyakushindayanayowezakubadilishamaishayawatejawetu,”alisema Mworia.
Mbalinakumkabidhizawadiyakenonohiyo, kampuniya Vodacom inamsaidia Hamis kupatamafunzoyaujasiriamalinamatumizisahihiyailikumuwezeshakufanyamatumiziyenyetija.
0 comments:
Post a Comment