Thursday, April 2, 2015

Mtoto huyu alizaliwa siku ambayo Bohari aliibuka mshindi katika uchaguzi mkuu nchini nigeria
na baada ya kuzaliwa alipewa jina la Muhammad ila baba wamtoto akabadilisha na kumuita Buhari au "Saibaba" .




Categories:

1 comment:

  1. jina zuri sana hata mimi nimelikubali aje awe shupavu kama Rais Muhhamadu Buharu mwenyewe. Amina.

    ReplyDelete