Monday, April 27, 2015

MAZISHI YA AUDAX (1945-2015)...
 
¤Mazishi ya Mutombo Lufungula "Audax" aliyefariki Alhamis alfajiri (23-Apr-2015) yamefanyika leo Jumapili (26-Apr-2015)
katika makaburi ya Kinondoni baada ya ibada na shughuli kuuga mwili wa marehemu iliyofanyika katika hospitali ya Mwananyamala.

¤Wadau wengi wa muziki wa dansi wamejitokeza wakiwemo Kanku Kelly, Kikumbi Mwanza Mpango "King Kiki", Tshimanga Kalala Assosa, John Kitime, Mafumu Bilali "Bombenga",Rajabu Zomboko, Kassim Mapili, Kassongo Mpinga Clayton, McKay Fanta, Omar Seseme, Masoud Masoud, Louie Kifanga, Saidi Kibiriti na wengineo wengi
 

¤Pia ilifanyika coverage ya Azam TV
Marehemu Audax akiwa na Kosongo Mpinda kulia enzi za uhai wake na Marquis Du Zaire wana Kamanyola!!

0 comments:

Post a Comment