Thursday, April 23, 2015


Msanii wa Bongo Fleva,Dyna Nyange amefunguka ugumu alioupata wakati akipiga picha za kava la ngoma yake mpya iitwayo 'Nitulize' aliyomshirikisha Nay Wa Mitego. Akizungumza na
makubwahaya,alisema kuwa kama picha zinavyoonekana ilitakiwa ionekane kama hajavaa sidiria lakini alikuwa amevaa ila aliishikilia kwa mbele kwahiyo sehemu ya mgongoni ilikuwa wazi.

'Unajua kilichokuwa kinanipa ugumu ni kwamba sina mazoea na Nay kwahiyo wakati mwinginenilikua nikishikilia sidiria inaachia nilikuwa najisikia aibu,'alisema Dyna.

0 comments:

Post a Comment