Wednesday, April 8, 2015


Hawa Mohammed Adan Surow, Osman Abdi Dakane, Mohammed Abdi Abikar, Hassan Aden Hassan na Sahal Diriye Hussien,watuhumiwa watano wa shambulizi katika chuo kikuu cha Garissa ambapo watu mia moja na arobaini na nane walipoteza maisha,hapa wakiwa mahakamani.

1 comment:

  1. Yaani hao wanyongwe hadi kufa "as the judge say" ni wabaya kuliko baba yao shetani... watoto wadogo wamebeba roho za Lucifer..

    ReplyDelete