Monday, April 27, 2015

unnamedBendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia kila la heri watanzania wote walio nyumbani na nje ,Heri na baraka, Amani,Mshikamano na Upendo katika  maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri yetu ya muungano wa Tanzania.

Tudumishe Muungano wetu daima millele.
           Mungu Ibaraki Tanzania
sherekea muungano kwa muziki kwa kubofya hapa  www.ngoma-africa.com

0 comments:

Post a Comment