Leo Rais wa Burundi Pierre Peter Nkurunzinza amekataa kuachia madaraka rasmi kuelekea uchaguzi mkuu na kudai kuendelea na awamu nyingine ya tatu ambayo ni kinyume na katiba ya nchi hyo
Hali hyo imepelekea machafuko ya ghafla na mauaji ya kutisha. Na kusababisha watu kujifungia manyumbani na barabara kuu kufungwa!




0 comments:
Post a Comment