Wednesday, April 8, 2015


Siku chache baada ya star wa bongo movie maarufu kama Shamsa Ford kuweka wazi kuwa wameachana na mume wake ameonekana kuwashangaza watu baada ya kupiga picha wakijiachia kimahaba
na msanii anaye bamba kunako soko la bongo fleva nchini anayejulikana kama Nay wa Mitego.Hali hii imeibua maswali tofauti tofauti pengine Nay wa mitego ndiye aliye pelekea ndoa hiyo kuvunjika..

0 comments:

Post a Comment