Tuesday, April 7, 2015

Bajaji 2Siku hizi pikipiki maarufu kama bodaboda pamoja na Bajaji pamoja na baadhi ya magari, yamekua yanachekesha wengi barabarani kutokana tu na maneno waliyoyabeba.
Kutana na hii inayowahusu Wanaume wote wanaochelewachelewa kuoa.

Bajaji 1


0 comments:

Post a Comment