nanukuu maneno ya mwanadada lulu michael Happy birthday Lucky Fan... Huyu dada Anaitwa Pepycandy kiukweli simjui..Lkn kama mnakumbuka niliwahi Ku repost,post iliyopostiwa na luluzzworld kwamba mtu yoyote aliyezaliwa Tarehe Moja na mwezi mmoja na mm amtumie message on instamessage kitambulisho chochote kama uthibitisho...wachache walifanya hvyo n THS pretty gal here Ndo alibahatika kuchaguliwa...Lengo kubwa ninajaribu kutengeneza mahusiano Mazuri na mashabiki pamoja na jamii inayonizunguka kwa ujumla....hyo Keki aliyoshika nilitamani sana nimpelekee Mwenyewe na kumkabidhi kama kumtakia Kheri Ya KUZALIWA kwake...nimeshindwa kutokana na sababu flan flan...Lkn Nashukuru msela Wangu luluzzworld ameniwakilisha HII ni njia Moja wapo na kurudisha upendo kwenu...Inshaallah ntafanya Mengi Zaidi KWA kadri ntakavyo barikiwa..! I hope umefurahia zawadi YANGU Birthday gal Pepycandy
0 comments:
Post a Comment