Posted by Williammalecela.com on Tuesday, April 21, 2015
Mwanadada wema sepetu amewashukia na kuwapa vidonde vyao wale wanaoshinda mitandaoni kila kukicha wakimkosoa.Wema amefunguka kila kitu shuka nayo hapa Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu..
0 comments:
Post a Comment