Saturday, April 25, 2015

Ilikuwa jana April 24 FURAHIDAY ya nguvu kwa watu wa nguvu Dar es Salaam.. Navy Kenzo, Chid Benz, Ben Pol na Young Dee walipanda stage moja pale High Spiritkuachia burudani kubwa kwenye show ya Music & Lights.. Kama uliikosa unaweza kuona palipendezaje kwenye hizi PICHAZ 13 hapa mtu wangu.
Lady Haha.. presenter wa Clouds TV
Ben Pol

Presenter wa XXL @Clouds FM, B12



Nahreel na Aika

Watu wa nguvu wakijienjoy





Rapper Young Dee

Ilikuwa happy sana kumuona mtu wetu rapper Chid Benz kwenye stage

0 comments:

Post a Comment