Muonekano wa eneo la Bamaga, Dar baada ya mvua kunyesha leo.
Watembea kwa miguu wakitembea kwa taabu kuvuka eneo la Bamaga.
...Maji yakionekana kufunga barabara eneo hilo. KAMERA za GPL leo zimetembelea eneo la Bamaga-Mwenge jijini Dar na kushuhudia athari za mvua iliyonyesha leo na kusababisha maji kujaa katika barabara ya Shekilango.
Mpiga picha wetu alishuhudia wananchi wakipata tabu kuvuka eneo hilo lililojaa maji na kusababisha usumbufu.
(HABARI/PICHA: DENIS MTIMA/GPL)
0 comments:
Post a Comment