ukiwa umekata Insuarance ya Makazi ya UAP kupitia CRDB BANK hupati presha kabisaaa... kipande cha Ukuta kimeanguka wiki iliyopita jana Nimechkua Mpunga wangu Kiulainiiii ukajengwe Upya, tena na Chenji ya kujiliwaza juu Hapa kama Mcharo Vile.. Tatizo letu WaTanzania tunawazaga sana Kukata Insuarance za Magari tu halaf ya Nyumba na Vitu vingine tunasahau... Je leo Hii ningekuwa sijakatia Nyumba yangu Insuarance Ingekuwaje???? Na michambo ile ya Insta si Mngenizika Mtoto wa Watu... Haya Mwambie Baba sasa akakate Mapema #CRDBBANK #UAP
0 comments:
Post a Comment