Kuna ajali imetokea muda si mrefu maeneo ya Ngilori na tabu hotel ktk wilaya ya Gairo kati ya fuso iliyokuwa imepakia watu
waliotoka msibani na gari kubwa aina ya semi uso kwa uso.
Idadi kamili ya watu waliopoteza maisha bado sijapata maana ni ajali mbaya sana.
0 comments:
Post a Comment