Wednesday, April 1, 2015

Ndugu waTanzania wenzangu. Natumai munaendelea na afya njema.
Mheshimiwa Rais na ujumbe wake watawasili Seattle: Jumatano Tarehe 1/4/2015, Usiku.
Tunaombwa tufike tumpokee Mhe. Rais Jakaya Kikwete na kusalimiana nae 
Jumuiya ya Tanzaseattle inawaomba kufika kwa wakati kama ilivyoainishwa:
Pahala:

FOUR SEASONS HOTEL SEATTLE
99 Union Street
Seattle, Wa 98101
Siku na Saa:
Jumatano 1/4/2015,Saa Tatu Usiku- Wednesday April 1st, 2015 at 9pm.
Kwa niaba ya Uongozi wa Tanzaseattle.
Ahsanteni kwa kufika kwa wakati.
Wenu,
Katibu - Haji Rajab Haji.

0 comments:

Post a Comment