Wednesday, April 8, 2015

 Katika kumalizia shangwe za pasaka msanii kutoka Laber ya 5star Music Kcee
kupata wakati mgumu alipokuwa anafanya show katika hotel moja ya nchini nigeria baada  ya kuimba na kufikia wakati wakina dada kudata na kuanza kumvuta kiasi cha kutaka kumvua nguo msanii huyo japo alifunguka na kusema anawapenda ma funs wake kutoka moyoni.




Categories:

0 comments:

Post a Comment