Stori: Imelda Mtema/ijumaawikienda
STAA
wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu amezua kioja cha aina
yake baada ya kutajiwa jina la aliyekuwa mwandani wake, staa wa Bongo
Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’
.
Staa
wa sinema asiyekaukiwa matukio Bongo, Wema Sepetu.Kioja hicho
alikifanya juzikati nyumbani kwake, Kijitonyama jiji Dar alipokuwa
akirekodi kipindi chake cha In My Shoes ndipo aliposhtuka baada kutumiwa
maoni na moja wa shabiki wake kupitia mtandao wa simu.“Heeeh! Huyu vipi
tena ananitajia jina hili (Diamond)? Sitaki kabisa kulisikia, hapa
nataka kusikia mimi na maisha yangu na si maisha ya mtu mwingine,”
alisikika Wema.
.
0 comments:
Post a Comment